The Chant of Savant

Monday 7 May 2012

Bongo nchi ya wauza bwimbwi



Taarifa kuwa mtuhumiwa wa kusafirisha madawa ya kulevya ambaye ni mdogo wa mbunge wa zamani wa Igunga Rostam Aziz aitwaye Abdulrasul kutokutwa na hatia ni pigo kwa taifa. Ukisoma jinsi kesi ilivyoendeshwa haraka na kinamna unashangaa hawa majaji wetu au tuseme waendesha mashtaka huvuta bangi gani. Uzoefu unaonyesha kuwa kesi za madawa ya kulevya au ufisadi zinazohusisha vigogo au makuwadi wao,  huisha kinamna huku wateule wakiachiliwa huru na wanyonge kubeba mzigo wao. Kwa habari zaidi Bonyeza hapa.

No comments: