The Chant of Savant

Sunday 6 March 2016

Breaking news Sefue chini Ikulu

  • Ombeni Sefue

Baada ya kulalamikiwa kushiriki uchafu mbali mbali,aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi Ombeni Sefue amepigwa chini rasmi leo na nafasi yake kuchukulia na John Kijazi aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini India. Kwa habari zaidi BONYEZA HAPA.

No comments: