The Chant of Savant

Tuesday 7 August 2012

Mbunge wa nchi omba omba anapokalia kiti cha milioni tano!

New chairs in Kenya's parliament
Ukumbi wa bunge la Kenya unavyoonekana baada ya kuwekewa viti vipya vya bei mbaya.
Parliament gets Sh922 million new chamber

Ingawa wabunge wa Tanzania walitoa kituko mwezi, wanaweza kulinganishwa na wenzao wa Kenya. Wakati wabunge wa Tanzania wakikabiliwa na tuhuma mbali mbali za rushwa, wenzao wa Kenya wanaandamwa na tuhma na shutuma za kutumia vibaya pesa ya walipa kodi wa nchi hiyo. Dunia nzima ilipigwa na mshangao ilipogundua kuwa serikali ya Kenya iliidhinisha ununuzi wa viti vipya vya wabunge ambapo kila kiti kimoja kinagharimu takribani shilingi milioni tano za Kitanzania. Wengi walistuka kuona nchi ombaomba ikifanya israfu kama hii. Kwa habari zaidi BONYEZA hapa.

No comments: