The Chant of Savant

Monday 14 May 2012

Unamkumbuka gwiji huyu wa golini?

File:Higuita.jpg
Rene Hoguita alijizolea umaarufu kutokana na kilichoonekana kama uchakaramo au wendawazimu akiwa kimiani mwaka 1990 kwenye kombe la dunia. Jamaa huyu amesahaulilka na anakula maisha na mkewe  Magnolia na watoto wao Andres na Pamela. Alikuwa kipa wa Columbia ambaye amewahi kufunga magoli kama nane hivi kwenye uchezaji wake.

No comments: