The Chant of Savant

Tuesday 15 May 2012

Ohene ametusuta kweli kweli

Re-writing history
 Robert Mu...Paul Kaga...Teodoro Obiang Nguema MbasogoPicture o...Félix Hou...Vampiro_A...... Omar ...Banda, Ha...Siad Barr...... in Af...File:Deni...CENTRAL A...Maréchal ...African S...Yoweri Mu...The Vario...Pierre-Bu...Illegal P...Juvenal HabyarimanaLondon, D...Milton Ob...Samuel Do...News Phot...haile-sel...

In this photo taken on April 21, 2012, South African President Jacob Zuma (C) and his wife Ms Bongi Ngema (R)
Utajisikiaje ukiambiwa kuwa Zuma alikuwa mtawa au Kagame alikuwa mpenda demokrasia?Waafrika hata tuseme wanadamu tunapenda sana kudanganya na kujisahau na kujidanganya. Waliosikia maneno na sifa za rais mpya wa Malawi bi Joyce Banda akimuita mwendazake Bingu wa Mutharika baba wa taifa watakumbuka watu wanavyojua kudanganya na kujidanganya. Mtu anapokufa huwa tunageuza uongo kuwa ukweli na ukweli kuwa uongo. Leo hatutasema sana. Tutaomba ubonyeze hapa usome makala ya mwandishi Elizaberth Ohene uone jinsi uongo hasa kwa marehemu ulivyotawala.




No comments: