The Chant of Savant

Thursday 24 May 2012

Mapenzi au kichaa


Kumetokea malalamiko kuhusiana na kampuni moja ya kimarekeni kutaka kuuza damu ya rais wa zamani wa nchi hiyo Ronald Reagan. Taarifa zalizotolewa na vyombo vya habari ni kwamba kampuni  ilikuwa ikitaka $ 12,000 kama bei ya kuuza damu ya rais huyo. Kampuni hii imetumia mtandao kutangaza biashara hii.Wengi wanajiuliza:Je watakaokuwa tayari kununua damu ya rais huyo wana mapenzi naye au kichaa? Je tamaa ya pesa inayotufikisha hapa si tutakuja kuuza hata mama zetu? Kwa habari zaidi BONYEZA hapa.

1 comment:

s.coste697@laposte.net said...

Upendo na kuokoa maisha yako! Kutibu virusi vya UKIMWI, hepatitis A, B na C, malaria, malengelenge, chunusi, kifua kikuu, nimonia, saratani, mafua, homa, sumu, uyoga...Ukweli: Wewe ni kuhusu kugundua jinsi ya kutumia 100% ya mwili wako na afya.
Madaktari mwangalifu kusema:http://2012mmsthrive.blogspot.fr