The Chant of Savant

Monday 7 May 2012

Maisha bora: Wajawazito wajifungulia chini ya miti


Visa vya mama wa kitanzania kujifungulia majumbani, kwenye mageti ya hospitali hata chini ya miti vinazidi kupamba moto. Hivi karibuni, kwa mujibu wa vyombo vya habari, wanawake mkoani Rukwa wanajifungulia chini ya miti kutokana na ukosefu wa zahanati. Wenye kumbukumbu wanajiuliza: Haya ndiyo maisha bora tuliyoahidiwa miaka saba iliyopita? Je ahadi hii itatekelezwa lini iwapo wizi wa pesa ya umma, ufisadi, kulindana na madhambi mengine yanazidi kuhalalishwa? Kwa habari zaidi BONYEZA HAPA.

No comments: