The Chant of Savant

Thursday 10 May 2012

Kweli Membe hataki urais au sizitaki mbichi?



Waziri wa mambo ya nchi za nje Bernard Membe amedai kuwa hana hata ndoto ya kugombea urais. Hii ni kutokana na vyombo vya habari kuwa vikimhusisha na mchakato wa kuwania urais mwaka 2015. Je tuamini maneno ya Membe au ni sizitaki mbichi hizi wakati anazitaka? Je tumchukulie kama wanasiasa wetu wengi ambao wengi wao ni waongo wanaoweza kusema hili na kesho wakasema lile? Kwa habari zaidi Bonyeza hapa.

No comments: