The Chant of Savant

Thursday 17 May 2012

Afrika laana ya Mungu au ya watu?


A malnourished boy in Niger. File photo

Habari kuwa utapiamlo umepanda chati nchini Nigeria licha ya kusikitisha ni aibu. Kwa nchi yenye mafuta na raslimali nyingine nyingi ikiwemo raslimali watu inakuwaje? Je hapa tatizo ni la kusababishwa na Mungu au watu? Kweli Afrika huwa haiishi vituko waliwahi kusema wazungu! Ajabu wakati mauzauza yakiendelea, kuna watu wanashiba na kusaza hata kumwaga ndani ya nchi hiyo hiyo moja! Wanasomesha watoto wao Ulaya na Amerika tena kwa pesa ya hao hao wanaouawa na utapiamlo! Kwa habari zaidi Bonyeza hapa.

No comments: