The Chant of Savant

Tuesday 26 April 2011

Hii nayo imekaaje?



Huyu jamaa kama anaishi Bongo ni kama anawachokoza vibaka. Sijui wakiamua kufanya vitu vyao kama sikio lake litapona. Bahati mbaya sana Morani huyu hajavaa sare na hata silaha zake hana.

Huenda Bongo imebadilika kiasi cha kuwa salama kiasi hiki. Nani ajua? Huenda maisha bora kwa wote yameishawafikia Wabongolalalanders wote. Nani ajua?

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Hakika hii kali inabidi iwe picha ya wiki...Hata mie sijui ni usalama au ndo kujiamini tu...